Swahili lesson about relationships

Family Relationships

Baba (father), mama (mother)

 kaka (brother), dada (sister)

babu (grandfather), bibi (grandmother) mjukuu (grandchild)  

mjomba (uncle), shangazi (aunt)

binamu (cousin), mpwa (nephew/niece)

shemeji (brother-in-law), shemeji/wifi (sister-in-law)

baba mkwe (father-in-law) mama mkwe (mother-in-law)

mkwilima (son-in-law) mkamwana (daughter-in-law)

baba wa kambo (step-father) mama wa kambo (step-mother)

mtoto wa kambo (step-child)

Conversations

ALAN: Baba na mama wanakula maembe (eating mangoes).

AMINA: Bibi yako ni nani?

ALAN: Bibi yangu ni Elizabeth. Babu yako anaitwa nani? (Your grandfather is)?

AMINA: Babu yangu anaitwa William.

ALAN: Sawa (ok). Na huyu ni nani? (and who is this?)

AMINA: Huyu ni mjukuu wangu (this is my grandchild).

ALAN: Kumbe! (really?).

AMINA: Ndiyo (yes).

One comment

Leave a Reply