Animals in Swahili

Domestic animals and birds/Wanyama na ndege wafugwao

ng’ombe (cow) punda (donkey)

mbuzi (goat), kondoo (sheep)

farasi (horse), ngamia (camel)

mbwa (dog), paka (cat)

chicken (kuku), bata (duck)

jogoo (rooster), fahali (bull)

njiwa (pigeon), kasuku (parrot)

tausi (peacock), bata mzinga (turkey)

sungura (rabbit) nguruwe (pig)

Wild animals and birds/Wanyama na ndege pori  

nyani (monkey), sokwe (gorilla)

simba (lion), punda milia (zebra)

kiboko (hippopotamus), tai (eagle)

twiga (giraffe), mbuni (ostrich)

tembo (elephant), Nyati (buffalo)

swala (antelope), fisi (hyena)

mbwa mwitu (wolf), mbweha (fox)

nungunungu (porcuopine),

Conversation on animals and birds

AMINA: Mnyama gani unampenda?

SALIM: Ninampenda mbwa.

AMINA: Kwanini (why) unampenda mbwa?

SALIM: Kwa sababu (because) mbwa ni mwaminifu (loyal). Je na wewe? (and you)?

AMINA: Mimi ninampenda farasi.

SALIM: Kwanini?

AMINA: Kwa sababu farasi ananisaidia kubeba mizigo ( luggage). pia (also) ninapenda kasuku        

                na kuku.

SALIM: Sawa nimekuelewa (ok I understand you)

Mifano Zaidi / More Examples

simba anaishi porini (a lion lives in the forest).

ngo’mbe anaishi nchi kavu (dry land).

Samaki (fish) anaishi kwenye maji (in water).

Ndege anaishi kwenye mti (in a tree).

Kuku anaishi nyumbani (at home).

Sentensi kuhusu Wanyama

Tembo anakula majani (an elephant eats grasses).

Bata anakula mahindi (corn).

Chui (leopard) anakula nyama (meat).

Twiga anakula majani.

Mbwa anakula nyama.

Paka anakula nyama pia (too).

Mbuzi anakula nyasi.

Kondoo anakula nyasi pia.

Unapenda mnyama gani? (which animal do you love?

SALIMA: Unapenda mnyama gani John?

JOHN: Ninapenda farasi. Na wewe je?

SALIMA: Ninapenda simba. Ndege je?

JOHN: Ninapenda kasuku. Na wewe?

SALIMA: Ninapenda bata mzinga.

Leave a Reply