Call us now:
How to apologize in Swahili
There are specific words that are commonly used when apologizing g in Swahili. The most common of those is ‘samahani’
Conversation 1
JANE: Ah! umenikanyagabn mguu (you stepped on my foot)
PAUL: Samahani! (sorry). Kuna mtu amenisukuma kwa nyuma (somebody pushed me from behind).
JANE: Haya, sawa (ok,well).
Conversation 2
MARK: Jamani! (goodness). Umemwaga soda yangu (you poured my soda)
Jack: Samahani sana! (very sorry). Ni bahati mbaya (it’s a bad luck).
MARK: Kuwa mwangalifu, bwana (be careful, guy).
JACK: Haya (ok).
Conversation 3
SAM: Aise! (oh!) Umechana shati langu (you tore my shirt)
DAVID: Naomba msamaha (I ask for forgiveness)
SAM: Usijali (don’t worry).
Conversation 4
MWAJUMA: Jamani! Unanisukuma (you’re pushing me)
MWANGAKE: Samahani sana (very sorry). Nisamehe tafadhali (forgive me please).
MWAJUMA: Ondoa wasiwasi (worry no).
Conversation 5
MANKA: Aa! Umemwaga maji yangu (you poured my water)
SANGA: Naomba radhi tafadhali, nisamehe. MANKA: Haya, hakuna shida (no problem).