A the Restaurant

Speaking Swahili at the  restaurant

Words normally used at the restaurant

Chakula (food)            Kinywaji (drink)                Hela / pesa (money)          Wali (rice)

Ugali (Tanzanian most eaten food)

Kachumbali (salad)            Juisi (juice)                 Bei (price)               Chenji (change)

Mkate (bread)        Maziwa (milk)                         Nyama (meat)          Supu (soup)

Dagaa (small fish)   Maharage (beans)                   Samaki (fish)

Muuzaji: Karibu!

Mteja: Asante. Habari yako!

Muuzaji: Nzuri, za saa hizi!

Mteja: Salama. Wali nyama (rice with meat) shilingi ngapi?

Muuzaji: Elfu tatu. Nikupatie? (should I give you?)

Mteja: Ndiyo, naomba sahani moja.

Muuzaji: Haya, subiri kidogo (wait a little bit)

Mteja: Sawa.

MHUDUMU: Karibu mteja!

MTEJA: Asante, nahitaji wali kuku, shilingi ngapi?

MHUDUMU: Elfu tatu mia tano (3500).

MTEJA: Sawa. Nipatie wa kushiba (give me the satisfying one).

MHUDUMU: Kaa nakuletea sasa hivi.

MTEJA: Asante.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *