Frequently Used Swahili Verbs

Common Swahili verbs

imba (sing), kimbia (run), kunywa (drink)

 chukua (take), kula (eat), ongea (talk)

 simama (stand), lala (sleep), leta (bring)

tengeneza (make), boma (destroy), ishi (live)

 kufa (die),njoo (come), nenda (go)

cheka (laugh), lia (cry), anza (start)

maliza (finish), safisha (clean), chafua (dirt)

soma (read), andika (write), simama (stand),

 kaa (sit),panda (climb), shuka (drop)

 saidia (help), iba (steal), uza (sell)

 nunua (buy), jenga (build), weka (put)

 hifadhi (keep), piga (beat), ng’ata (bite)

 pigana (fight), pata (get), poteza (lose)

cheza (play, dance), pika (cook)

vaa (wear), vua (take off), ruka (jump)

 ingia (get in), toka (get out), ondoka (leave)

pambana (struggle), fanya (do), kamata (catch)

angalia (look), tazama (watch), lalamika (complain)

ongezeka (increase), pungua (decrease), fagia (clean)

fua (clean), futa (delete), taarifu (inform),

 hit (gonga), wahi (be early), chelewa (be late)

 jifunza (learn) sahau (forget), kumbuka (remember)

lowana (get wet), kauka (dry), andaa (prepare)

chambua (sort), chambua (analyze), badilika (change)

 tathmini (evaluate), lingana (look the same)

iva (ripe), komaa (mature), ita (call)

jaribu (try), ota (dream/grow), jificha (hide)

fanikiwa (succeed), kasirika (be angry), furahi (be happy)

sikitika (be sad), fahamu (know), understand (elewa)

 tukana (abuse), bembeleza (caress), ua (kill)

shinda (win), onesha (show), tofautiana (look different)

shona (sew), fungua (open), funga (close/score)

nenepa (become fat), konda (become thin), koma (stop/cease)

 shindwa (fail), fundisha (teach), changanya (mix)

ganda (freeze), yeyuka (melt), bahatisha (bet)

kusanyika (gather), tawanyika (scatter), penda (love)

chukia (hate), Sukuma (push), vuta (pull/smoke),

 kamata (arrest), kata (cut), badilisha (change)

rahisisha (simplify), choma (burn), kaanga (fry)

zama (sink), elea (float), rudi (return)

rudisha (return), koroga (stir), tuma (send)

pokea (receive), sababisha (cause), tatua (solve)

mwaga (pour), Sali (pray), uliza (ask)

jibu (answer), panga (plan), taka (want)

hitaji (need), chimba (dig), zika (bury)

ishi (live), alika (invite), fukuza (chase)

chinja (slaughter), pita (pass), ona (see)

leta (bring), tembea (walk), pendeza (look good)

pumua (breathe), oga (bathe), swaki (brush)

beba (carry), nyonyesha (nurse), kutana (meet)

 hesabu (count), panga (arrange), jongea (move)

endesha (drive/ride), chunga (take care off)

One comment

Leave a Reply