Call us now:
Colors/Rangi in Swahili
Nyeusi (black), nyekundu (red), nyeupe (white).
kijani (green), njano (yellow), kijivu (grey)
kahawia (brown) bluu (blue), bluu bahari (white blue), machungwa (orange) damu ya mzee (maroon)
rangi nyeusi
rangi nyekundu
rangi nyeupe
rangi ya kijani
rangi ya njano
rangi ya kijivu
rangi ya kahawia
rangi ya bluu
rangi ya bluu bahari
rangi ya machungwa
rangi ya damu ya mzee
Mifano Zaidi / More Examples
Nyumba yangu (my) ni nyeusi (my house is black)
Nyumba yangu ni nyeupe.
Nyumba yangu ni nyekundu.
Nyumba yangu ni ya njano.
Nyumba yangu ni ya kijani.
Nyumba yangu ni ya kijivu.
Nyumba yangu ni ya damu ya mzee.
Nyumba yangu ni ya bluu.
Nyumba yangu ni ya bluu bahari.
Conversation 1 about Colors
MUBA: habari! unahitaji nini? (what do you need)?
MASU: Ninahitaji shati (shirt)
MUBA:Shati lipi? (which shirt)?
MASU: Shati la njano.
MUBA: Chukua hapo (take it there)
MASU: Shilingi ngapi? (how much)?
MUBA: Elfu kumi (ten thousand)
MASU: Sawa. Naomba nipatie (please give me)
Conversation 2 about color
MASALU: Mambo vipi?
AISHA: Safi, habari yako!
MASALU: Poa tu. Naomba ndoo (bucket) moja.
AISHA: Rangi gani unahitaji?
MASALU: Ndoo ya rangi nyekundu.
AISHA: Chukua hapo nje (take it outside)
MASALU: Asante sana Aisha.
AISHA: Poa, usijali.
MASALU: Kwaheri, tutaonana baadae (see you later)
AISHA: Haya!