Call us now:
Speaking Swahili at the restaurant
Words normally used at the restaurant
Chakula (food) Kinywaji (drink) Hela / pesa (money) Wali (rice)
Ugali (Tanzanian most eaten food)
Kachumbali (salad) Juisi (juice) Bei (price) Chenji (change)
Mkate (bread) Maziwa (milk) Nyama (meat) Supu (soup)
Dagaa (small fish) Maharage (beans) Samaki (fish)
Muuzaji: Karibu!
Mteja: Asante. Habari yako!
Muuzaji: Nzuri, za saa hizi!
Mteja: Salama. Wali nyama (rice with meat) shilingi ngapi?
Muuzaji: Elfu tatu. Nikupatie? (should I give you?)
Mteja: Ndiyo, naomba sahani moja.
Muuzaji: Haya, subiri kidogo (wait a little bit)
Mteja: Sawa.
MHUDUMU: Karibu mteja!
MTEJA: Asante, nahitaji wali kuku, shilingi ngapi?
MHUDUMU: Elfu tatu mia tano (3500).
MTEJA: Sawa. Nipatie wa kushiba (give me the satisfying one).
MHUDUMU: Kaa nakuletea sasa hivi.
MTEJA: Asante.