Call us now:
Fruits and vegetables/matunda na mboga za majani
embe (mango), ndizi (banana)
nanasi (pineapple), chungwa (orange)
parachichi (avocado), papai (pawpaw)
limao (lemon), ndimu (lime)
tikiti maji (water melon), boga (pumpkin)
matembele (potato leaves), zabibu (grapes)
ukwaju (tamarind), tufaa (apple)
nazi (coconut), tende (dates)
tango (cucumber), stafeli gustard apple
nyanya (tomato), kiazi (potato)
biringanya (brinjal), bamia (lady’s finger)
kabichi (cabbage), uyoga (mushroom)
pilipili (pepper), kitunguu (onion)
karoti (carrot), kitunguu saumu (garlic)
pilipili hoho (capsicum)